FT: Ubaya Ubwela: Simba SC 3-0 Tabora Utd/KMC Complex-18/8/2024

FT: Ubaya Ubwela: Simba SC 3-0 Tabora Utd/KMC Complex-18/8/2024

kitu ambacho wanatakiwa kufanya Simba tunajua wanatengeneza timu lakini haijalishi itakuwa vipi wapate ushindi kila mechi hii itawaongezea morali zaidi baada ya mechi 20 watakuwa wamekaa sawa na matokeo wanayo
 
Mimi ni Yanga ila hii simba jamani inakaribia kujipata, hapo ukitoa Kapombe tu, ni balaa, haha
Unaipima dhidi ya Tabora? Quality ya wachezaji wa Simba Vs wa Tabora inafanana? Match fitness ya Simba vs Tabora je inafanana?
 
kitu ambacho wanatakiwa kufanya Simba tunajua wanatengeneza timu lakini haijalishi itakuwa vipi wapate ushindi kila mechi hii itawaongezea morali zaidi baada ya mechi 20 watakuwa wamekaa sawa na matokeo wanayo
Kushinda mechi 20 mfululizo unachukulia rahisi sana sio? Usisahau oktoba unakutana na Wana ubaya ubwela original kabisa😃
 
Back
Top Bottom