FT: Ubaya Ubwela: Simba SC 3-0 Tabora Utd/KMC Complex-18/8/2024

FT: Ubaya Ubwela: Simba SC 3-0 Tabora Utd/KMC Complex-18/8/2024

Unaipima dhidi ya Tabora? Quality ya wachezaji wa Simba Vs wa Tabora inafanana? Match fitness ya Simba vs Tabora je inafanana?
Unataka tuipime na mbeya city au..?
Kumbe Mo kadanganya aliposema kikosi cha Simba ni cha billion 7 maana Tabora kikosi chao hata bilioni moja hakijafikisha.
Comparison should be on all parameters, usijichagulie kichaka chako cha kufanya comparison alafu vingine una ignore.
 
Back
Top Bottom