Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Anaitwa Yusuph KagomaPaul kagoma leo kacheza kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaitwa Yusuph KagomaPaul kagoma leo kacheza kweli?
Umetuonaaa mtaniiii...?
Hongera mtani Cc ephen_Umetuonaaa mtaniiii...?
Samalekoo east Africa
Ubaya ubwela...
Nguvu moya
Hamna Jema nyie watu.Hii timu ni mbovu mno afadhari ya last seaso
Ni swala la muda tutarudi hapaHamna Jema nyie watu.
Hao wa last season mnaosema walikuwa Bora kuliko hawa wa Sasa hebu wataje..😜
Timu za shirikisho zote ni mbovuWale wa kuchukua maneno kutoka A kupeleka B kisa tuu Ally kamwe na komwe lake kasema kwa wivu wake ... na wao sasa kila comment hii timu ni mbovu kuliko ya msimu uliopita... huku wakiungua moyoni kama wamewekewa matunuru... ni wivu tuu
Wanaume kamaa mabinti...
Kufanyaje...Ni swala la muda tutarudi hapa
Hao wanatapata baada ya kuona hakuna usalama...achana nao...Hamna Jema nyie watu.
Hao wa last season mnaosema walikuwa Bora kuliko hawa wa Sasa hebu wataje..😜
Kumbuka wao hapo wana point 36 za buree kwa timu walizozidhamini😆😆😆😁😁😁😊😊😊😊🤒🤒🤒🤒Kufanyaje...
Wenye timu yetu hata ya msimu uliopita hatukuona baya lake.
Takwimu za ubaya UBWELA zinasema kinyume na wakosoaji wake.
Ni kama ni lazima Simba iwe bingwa ndiyo timu iwe nzuri siyo sawa.
Ni mbovu kweli kweli maana nyie huo ubovu mlikaa nao miaka mpaka mkabobea...Timu za shirikisho zote ni mbovu
Wameiua Ihefu Kindezi Sana...😄😄😃Kumbuka wao hapo wana point 36 za buree kwa timu walizozidhamini😆😆😆😁😁😁😊😊😊😊🤒🤒🤒🤒
Unarusiwa kujifarijiKufanyaje...
Wenye timu yetu hata ya msimu uliopita hatukuona baya lake.
Takwimu za ubaya UBWELA zinasema kinyume na wakosoaji wake.
Ni kama ni lazima Simba iwe bingwa ndiyo timu iwe nzuri siyo sawa.
Wale wa kuchukua maneno kutoka A kupeleka B kisa tuu Ally kamwe na komwe lake kasema kwa wivu wake ... na wao sasa kila comment hii timu ni mbovu kuliko ya msimu uliopita... huku wakiungua moyoni kama wamewekewa matunuru... ni wivu tuu
Wanaume kamaa mabinti...
Yanga wana roho mbaya sana. Mimi mwanangu sitakubali awe mshabiki wa hii timu, nitaitumia Yanga kama case study ya tabia mbaya zilivyo. Hizi roho za fitna siyo nzuri kwa afya ya mtu, sijui wanaishije nazoHamna Jema nyie watu.
Hao wa last season mnaosema walikuwa Bora kuliko hawa wa Sasa hebu wataje..😜
😆😄😃Yanga wana roho mbaya sana. Mimi mwanangu sitakubali awe mshabiki wa hii timu, nitaitumia Yanga kama case study ya tabia mbaya zilivyo. Hizi roho za fitna siyo nzuri kwa afya ya mtu, sijui wanaishije nazo
Yaani wao Kila siku ni kuitakia mabaya Simba...enzi zile wanaswaga vyura pale vidimbwini walikuwa kazi Yao kupokea timu zinazokuja kucheza na Simba.... Hawa jamaa hawa...😃😄😆Yanga wana roho mbaya sana. Mimi mwanangu sitakubali awe mshabiki wa hii timu, nitaitumia Yanga kama case study ya tabia mbaya zilivyo. Hizi roho za fitna siyo nzuri kwa afya ya mtu, sijui wanaishije nazo
Bado wapo kwenye ushabiki wa kizamani wa kuombeana mabayaYaani wao Kila siku ni kuitakia mabaya Simba...enzi zile wanaswaga vyura pale vidimbwini walikuwa kazi Yao kupokea timu zinazokuja kucheza na Simba.... Hawa jamaa hawa...😃😄😆
Ndo maana hawana nuru nyuso zao...hawana afya...roho mbaya ni sumu..😀😀😀Yanga wana roho mbaya sana. Mimi mwanangu sitakubali awe mshabiki wa hii timu, nitaitumia Yanga kama case study ya tabia mbaya zilivyo. Hizi roho za fitna siyo nzuri kwa afya ya mtu, sijui wanaishije nazo