Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilele kwenye baridi Kali....😂😂😂Lete msimamo
Huwezi kuipenda Simba kwa sababu tayari umeshaipenda yanga.Mlianzaje kuipenda simba? Mimi siwaelewi mashabiki wa simba. Mtu unaanzaje anzaje tu kuipenda. Mbona mimi imenishinda kabisa.
Nasubiria kwa hamu sana mechi ya ngao ya jamii ya Aug 08 ili vibabu vya utopolo wapimwe umri.Sijui itakuwaje Wale Vibabu vya Utopolo... Hawa Gen Z' hawana Masihara.
bado tuko live.Ngoja tuone, hayo ni mawazo yangu
Simba leo amecheza na timu kubwa sana na tishio. TujipongezeniWala Haturingi
Naunga mkono hoja 🤣😁Simba bingwa ephen_ Vincenzo Jr
Mlianzaje kuipenda simba? Mimi siwaelewi mashabiki wa simba. Mtu unaanzaje anzaje tu kuipenda. Mbona mimi imenishinda kabisa.
Dada yangu mzima wewe? Kale ka utaratibu ketu ka sandakarawe kameisha?Mlianzaje kuipenda simba? Mimi siwaelewi mashabiki wa simba. Mtu unaanzaje anzaje tu kuipenda. Mbona mimi imenishinda kabisa.
Mimi mzima kabisa Mkuu Wakusoma 12 kameisha, JF hawataki hizo mada kabisa. Wanga wengi, wamesababisha kuwe na vurugu na malumbano yasiyo na tija.Dada yangu mzima wewe? Kale ka utaratibu ketu ka sandakarawe kameisha?
Watu wana roho mbaya sana hawataki kabisa watu tupeane sapoti.Mimi mzima kabisa Mkuu Wakusoma 12 kameisha, JF hawataki hizo mada kabisa. Wanga wengi, wamesababisha kuwe na vurugu na malumbano yasiyo na tija.
lipo waziHii timu ni mbovu mno afadhari ya last seaso