Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
MananiYameshinda??😫😫😫😫
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MananiYameshinda??😫😫😫😫
Kama kawaida ya Mnyama ligi inapoanzaOn top on table
Muslimah naomba airtel hata ya buku tu 😊🙏Hiyo ndogo sana. Naomba nikupe ya kuanzia buku ten unaswmaje dunduka fc?
kila timu ya ligi kuu itakutana nayo hata yanga pia mtacheza nao mkiwafunga hautoshangiliaMmekutana na timu ipo hopelessly kabisa
Wenye akili hawatoufurahia huu ushindi
Yameshinda 3 mviringo. Ila tukija wenye ligi watashushwa kama naziYameshinda??😫😫😫😫
Chill pillSijapenda kabisa, nyo nyo nyo nyo nyoooooo
Hahahha wivuYameshinda 3 mviringo. Ila tukija wenye ligi watashushwa kama nazi
⬜🟥Manani
Sio kuloga Tu Bali ' kupaa'Mkuu ukikaza unaweza kuanza kuloga😁😁😁
😁😁😁Sio kuloga Tu Bali ' kupaa'
Mkitolewa caflYameshinda 3 mviringo. Ila tukija wenye ligi watashushwa kama nazi
Mpaka sasa Yanga Bingwa👏👏👏Yameshinda 3 mviringo. Ila tukija wenye ligi watashushwa kama nazi
Sawa sawaMpaka sasa Yanga Bingwa👏👏👏
angalia usije kushindwa kuwasalimia hapo nyumbani punguza makasirikoYameshinda 3 mviringo. Ila tukija wenye ligi watashushwa kama nazi
Weweeeeeee piga kelele kwa Yanga ake. Yanga ndiyo timu, zingine huwa zinasindikiza Yanga.Mpaka sasa Yanga Bingwa👏👏👏
Sijapenda ila najua, ni baiskeli ya mabua nyie.angalia usije kushindwa kuwasalimia hapo nyumbani punguza makasiriko
Pata maji baridi kidogo basi😉Weweeeeeee piga kelele kwa Yanga ake. Yanga ndiyo timu, zingine huwa zinasindikiza Yanga.
Hilo halina ubishi mpaka sasa .Weweeeeeee piga kelele kwa Yanga ake. Yanga ndiyo timu, zingine huwa zinasindikiza Yanga.
Furaha yako ilitegemea tushindwe pole sana bantu wetu😁Sijapenda ila najua, ni baiskeli ya mabua nyie.