Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Imefika dakika ya ngapiInakosa namba 10 na mshambuliaji hatari tu. Tukipata hawa tumemaliza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imefika dakika ya ngapiInakosa namba 10 na mshambuliaji hatari tu. Tukipata hawa tumemaliza.
Ni mbovu ndio, kwani mpira hatujaangalia. Goal zote za “Nidondokee”Halafu mkitoka hapa mje mseme tena kuwa Simba mbivu
Naomba vocha ya aftatuSijapenda kabisa, nyo nyo nyo nyo nyoooooo
93" 3-0Imefika dakika ya ngapi
mkeka umepona.93" 3-0
It's funny kuona ndondokela inaegamia upande wa Simba peke yake.Ni mbovu ndio, kwani mpira hatujaangalia. Goal zote za “Nidondokee”
Soma kwa nguvunaona 1 bila
Hiyo ndogo sana. Naomba nikupe ya kuanzia buku ten unaswmaje dunduka fc?Naomba vocha ya aftatu
Mkuu ukikaza unaweza kuanza kuloga😁😁😁Mmekutana na timu ipo hopelessly kabisa
Wenye akili hawatoufurahia huu ushindi
Yameshinda??😫😫😫😫Sijapenda kabisa, nyo nyo nyo nyo nyooooo
Matter of time but enjoy what little u haveOn top on table