Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Aaah!....hii Simba mpya bhana....Yameshinda 3 mviringo. Ila tukija wenye ligi watashushwa kama nazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah!....hii Simba mpya bhana....Yameshinda 3 mviringo. Ila tukija wenye ligi watashushwa kama nazi
Kama wewe sio Yanga huwezi kuelewa 🤣🤣🤣Furaha yako ilitegemea tushindwe pole sana bantu wetu😁
Huenda mazoezini wako vizuri pia wanauzoefuHivi huyu kocha wa simba huwa anapangiwa kikosi au ni jeuli tu, hivi inakuwaje kocha kila siku anawakumbatia kina mzamiru na kapombe licha ya kuwa wameonyesha uwezo mdogo na kuwaacha wachezaji wazuri kwenye benchi kama okejepha, kagoma na kijili
Karibu Msimbazi mrembo ule mema ya nchi...bado hujachelewaMlianzaje kuipenda simba? Mimi siwaelewi mashabiki wa simba. Mtu unaanzaje anzaje tu kuipenda. Mbona mimi imenishinda kabisa.
Tuliulizwa tukiwa wadogo kati ya simba na chura una penda nini tukajibu simba 😁😁Mlianzaje kuipenda simba? Mimi siwaelewi mashabiki wa simba. Mtu unaanzaje anzaje tu kuipenda. Mbona mimi imenishinda kabisa.
🙄Tuliulizwa tukiwa wadogo kati ya simba na chura una penda nini tukajibu simba 😁😁
Zamu yenu inakuja......stay tuned...😍😍Sijapenda kabisa, nyo nyo nyo nyo nyoooooo
kama ulikunywa supu ya yanga huwezi elewa,ulinyweshwa zindikoMlianzaje kuipenda simba? Mimi siwaelewi mashabiki wa simba. Mtu unaanzaje anzaje tu kuipenda. Mbona mimi imenishinda kabisa.
Mkuu kunywa maji ,hasira itashuka😁Yanga Bingwa 10 years consecutively na sasa hv bado miaka 7.
Acha kulinganisha simba na vitu vya kijinga😁ukifanikiwa kuwaelewa mashabiki wa Arsenal basi mashabiki wa Simba hautowashangaa pia
utanyonywaSijapenda kabisa, nyo nyo nyo nyo nyoooooo
Ubaya uboya hii ndo maana yakeMukwala anazunguka tu, hamna mtengenezaji, 10 zitoke wapi. Ngoja tuone mabailiko mzamiru na kapombe wametoka.