FT: Ubaya Ubwela: Simba SC 3-0 Tabora Utd/KMC Complex-18/8/2024

FT: Ubaya Ubwela: Simba SC 3-0 Tabora Utd/KMC Complex-18/8/2024

Halafu kama hujui huu mpira ulivyo kipindi hichi kafara ya yanga inanguvu itakuja isha nguvu na wengine nao waweze kukenua🤣🤣
 
Hivi huyu kocha wa simba huwa anapangiwa kikosi au ni jeuli tu, hivi inakuwaje kocha kila siku anawakumbatia kina mzamiru na kapombe licha ya kuwa wameonyesha uwezo mdogo na kuwaacha wachezaji wazuri kwenye benchi kama okejepha, kagoma na kijili
Huenda mazoezini wako vizuri pia wanauzoefu
 
Back
Top Bottom