FT: Uganda 0-1 Tanzania: Kufuzu Afcon 2023 group E

mganda og

Senior Member
Joined
Feb 23, 2023
Posts
134
Reaction score
445
Karibuni tena katika mechi kubwa ya kimataifa baina ya miamba wa soka hapa Afrika ya Mashariki, Uganda dhidi ya Tanzania katika kutafuta nafasi ya kufuzu Afcon 2023.

Mechi hii itapigwa kuanzia mida ya saa 11 jioni katika dimba la Suez Canal Jijini Ismailia na itarushwa na Azam sports kupitia chanel ya ZBC2

Kuwa nami paka mwisho...

=============

Mpira Umeisha: Tanzania yashinda kwa goli 1-0 dhidi ya Uganda, mfungaji wa goli hilo ni Simon Msuva

Tanzania inaongoza kwa goli 1 , goli limefungwa na Simon Msuva katika dakika ya 68
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…