FT: Uganda 0-1 Tanzania: Kufuzu Afcon 2023 group E

FT: Uganda 0-1 Tanzania: Kufuzu Afcon 2023 group E

Watu wanazipenda Simba na Yanga kuliko hata timu Yao ya Taifa!Angalia Uzi umepoaaaa!
 
Huyu kocha kaingia na kichaa chake inakuwaje hakuna namba mbili halisi Wala namba tatu halisi zaidi ya job na huyu dismas,

Kocha anatafutiwa lawama za kuonekana hafai
Ukisema Halisi Una Maana Gani Mkuu
 
Screenshot_20230324-172835_Sofascore.jpg
Mliopo live huko hivi Kakolanya anapiga 11, sababu nilikuwa napitia sofascore hapa namcheki yupo dimbani...
Screenshot_20230324-172835_Sofascore.jpg
 
Beki ya Yanga inaenda kupigwa tena na Vipers labda Manula awabebe.
 
Back
Top Bottom