FT: Uganda 0-1 Tanzania: Kufuzu Afcon 2023 group E

FT: Uganda 0-1 Tanzania: Kufuzu Afcon 2023 group E

Mashabiki Wa Tanzania Uwanjani wanaimba Kidedea ya Simba
 
Pia hatuna forward yenye uchu wa magoli. Sioni jinsi gani tutatengeneza magoli kwa hawa wachezaji tulionao.
 
Mashabiki Wa Tanzania Uwanjani wanaimba Kidedea ya Simba
Taifa stars hainaga sera na utamaduni wa ushangiliaji. Tupo tupo sasa unafikiri wataimba nini sasa, kuna game ilijikuta Nairobi nikaenda Kasarani ikabidi tuimbe kidedea na singeli tu
 
Taifa stars hainaga sera na utamaduni wa ushangiliaji. Tupo tupo sasa unafikiri wataimba nini sasa, kuna game ilijikuta Nairobi nikaenda Kasarani ikabidi tuimbe kidedea na singeli tu
Sasa team kwa uchezaji huu nani ataenda kushangilia haina national spirit kabisa..
Wanacheza kama wapo mazoezi.
 
Nina bahati mbaya, siyo shabiki wa Taifa Stars...
Sijawahi ielewa kabisa. Tunahitaji kuanza chini kabisa, kukuza vipaji. Ili tuwe na team bora ya Taifa.
Anyway kila la kheri...
 
  • Thanks
Reactions: ram
Wachezaji wa Tanzania hawako makini hata kidogo, wanapoteza mipira kirahisi sana, tupigwe tupumzike.
 
Back
Top Bottom