FT: Uganda 0-1 Tanzania: Kufuzu Afcon 2023 group E

FT: Uganda 0-1 Tanzania: Kufuzu Afcon 2023 group E

Najaribu kuwaza huyu kocha kafikiria nini kwa hii back line. Yule Said Khamis naona nizigo tu uwanjani hakabi anatakiwa atoke. Midfield haieleweki mbele kidogo Msuva anapambana
 
Kweli inahitaji moyo kuishabikia Stars. Kuna wachezaji hawakupaswa kurudi kipindi cha pili
 
Hivi hata kina Israel Mwenda na Kibu mbona wana quality ya kuchezea hii timu na wangekuwa msaada mkubwa tu.
 
Nina bahati mbaya, siyo shabiki wa Taifa Stars...
Sijawahi ielewa kabisa. Tunahitaji kuanza chini kabisa, kukuza vipaji. Ili tuwe na team bora ya Taifa.
Anyway kila la kheri...
Hii timu ya Taifa imepoa sana. Haina mvuto kama Simba na Yanga. Wacha tuendelee kushabikia Simba na Yanga. Hii timu mhh!
 
Back
Top Bottom