denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Kocha mgeni huyo, hizi wiki mbili ulitegemea afundishe kitu gani kwa wachezaji kieleweke?Naona kila mchezaji anajichezea tu. Pass zinachelewa kutoka, yan ilimradi mchezaji kagusa na katoa mpira.
Hakuna kinachoeleweka