EP MEDICS COSMETICS STORE
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 2,826
- 4,593
DStv 225Channel gani wanaonesha ?
bila bila mpaka SasaDuuhh dk ya 21 hakuna update yyte kweli Bongo Nyoso!! Najiuliza kusingekuwana wachezaji wa kigeni ligi yetu ingekuwa wapi!!
Mwenye Link ya kicheki online
Okwi 2-0 StarzKikosi chetu cha ugandaView attachment 2563937
WendawazimuKikosi cha tanzaniaView attachment 2563947
Wamechanganya siasa kwenye mpira.Hakuna timu
Mbaka ndo nini?Inaonekana game haijaanza mbaka sasa
Ulitaka akae MOHAMED HUSSEIN??Huyu dismass naona ni miyeyusho tu
Ukisema Halisi Una Maana Gani MkuuHuyu kocha kaingia na kichaa chake inakuwaje hakuna namba mbili halisi Wala namba tatu halisi zaidi ya job na huyu dismas,
Kocha anatafutiwa lawama za kuonekana hafai
[emoji1787]Mbaka ndo nini?