Kocha mgeni huyo, hizi wiki mbili ulitegemea afundishe kitu gani kwa wachezaji kieleweke?Naona kila mchezaji anajichezea tu. Pass zinachelewa kutoka, yan ilimradi mchezaji kagusa na katoa mpira.
Hakuna kinachoeleweka
Wanacheza utafikiri wameanza periodNaona kila mchezaji anajichezea tu. Pass zinachelewa kutoka, yan ilimradi mchezaji kagusa na katoa mpira.
Hakuna kinachoeleweka
Tummpe muda gan? LabdaKocha mgeni huyo, hizi wiki mbili ulitegemea afundishe kitu gani kwa wachezaji kieleweke?
Anajua kupambania na kuwin mipira ya 50/50.Kibu ondoa hapo, hakuna mchezaji pale
Unaona kama mimi... [emoji3][emoji3][emoji3]Wanacheza utafikiri wameanza period
Washambuliaji wao wote wa kigeni . Tz uswahili mtupuHii timu ya Taifa imepoa sana. Haina mvuto kama Simba na Yanga. Wacha tuendelee kushabikia Simba na Yanga. Hii timu mhh!
Ndio wameshtuka wameweka🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]