Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
FIFA irekebishe sheria timu za Taifa ziwe zinaruhusiwa kukodisha mamluki. Sisi mapema sana tungeanza na Mayele na Chama๐๐Washambuliaji wao wote wa kigeni . Tz uswahili mtupu
Ili kutizama fitness yake ikoje mkuu.Feitoto anaingia dakika ya 80...
Kocha kaharibuFeitoto anaingia dakika ya 80...
Ilitakiwaje Mkuu?Kocha kaharibu
Ujinga wa Tanzania wakampa Uraia mamluki Kibu Denis kumbe hasara tupu.๐๐FIFA irekebishe sheria timu za Taifa ziwe zinaruhusiwa kukodisha mamluki. Sisi mapema sana tungeanza na Mayele na Chama๐๐
Ugali wa sukari umemnenepesha.Feitoto anakosa bao...anakosa match fitness inavyoonekana