Sema Timu yetu haina combination yoyote ile.Aucho ni kama anapenda Stars ishinde
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema Timu yetu haina combination yoyote ile.Aucho ni kama anapenda Stars ishinde
Hakika. Tunachezacheza tu..Sema Timu yetu haina combination yoyote ile.
Subiria yako ya akina ZIMBWE, KIBU na KAPOMBESema Timu yetu haina combination yoyote ile.
Kocha atakuwa ameona hilo Tutaenda kuwaona Lupaso JumanneHakika. Tunachezacheza tu..
Mkuu umeangalia mpira lakini?Subiria yako ya akina ZIMBWE, KIBU na KAPOMBE
Huu usimba na uyanga utawaua .Subiria yako ya akina ZIMBWE, KIBU na KAPOMBE
Wanajisonya tuPoleni mashabiki uchwara wa Uganda, viva Taifa Stars!!
Uganda sio underdog stars wamejitahidiMkuu umeangalia mpira lakini?
Id yake inajieleza lakiniHivi kwanini siku hizi wajinga wanazidi kuongezeka Tanzania?
Taifa lina hasara sana hili.
Ndio, Uganda tumewazidi kila kitu, unataka nn zaidi?? Subiri timu yako ambayo utawapanga Zimbwe, Kibu, Kapombe na BOCCO ila kwa hii achana nayo.Mkuu umeangalia mpira lakini?
Hakika. Tunachezacheza tu..