FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

Uto wamefanya mashambulizi makali dakika hii ya 22 kuelekea 23
 
Hatukimbii uzi wetu, japo aliyeanzisha ana gundu la jana.
Mpira dakika 90 chochote kinaweza tokea. Aziz Ki ana goli lake moja 😎
 
Piga haooo mambwa 🀣🀣🀣🀣
 
Hahahaaa. Wazungu wana kauli yao wanasema relax.

Ndo mpira huo My dear huhitaji kuvurugwa saaana. πŸ˜€
Ninamtoa upepo huyo dunduka FC tu πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ nikimuacha atanisumbua mpk dk 90.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…