FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

Yanga karibuni kwenye mashindano ya Afrika.

Na hili ni kombe la walioshindwa sio ligi ya mabingwa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Yalaaaa. Kazi ipo leo.

Tumeanza vizuri ila ghafla kibao kimegeuka. Lol.
Acha nikachomeke net kabisa mtani saa 3 juu ya alama naingia kulala roho nyeupee.

Pole mtani, ila mpira ni dakika 90 tunaweza sawazisha na kushinda
 
Back
Top Bottom