OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
- #421
Kipa wa Mona kampa Moloko anatetemeka tu. Hii nindharau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameweka Beshti....Kumbe wameweka Gu Screen
Chukwu emeka atakua hapo
Mungu yuko anajibu maombi ya mtoto wake mpendwa wao ni waoEwe Mungu wa kisasi
Mungu unayesawazisha wasio na maumivi ili wawe na maumivu ili dunia iwe sawa
Nakuomba usimame nasi sasa
Amina
Pigaa kama paka shumee[emoji1544][emoji1550][emoji24][emoji1787]Piga hao Vyuraaa
Usijali my dear. 😀Ninamtoa upepo huyo dunduka FC tu 😄😄😄😄😄 nikimuacha atanisumbua mpk dk 90.
Hatari leo viraka vyote kwishneyiWanetu leo mtapigwa mpaka mchakae[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha nikachomeke net kabisa mtani saa 3 juu ya alama naingia kulala roho nyeupee.Yalaaaa. Kazi ipo leo.
Tumeanza vizuri ila ghafla kibao kimegeuka. Lol.
Simba Jana imepata point 3 huku horoya ikicheza bila mashabiki wake, hongereni.Yanga mnaingiza taifa kwenye aibu nzito sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mayele angeambiwa level hizi watu wanacheza hivi sidhani kama angekubali kuja huku
Asante dear mtani, ila ball linatembea hili 😄😄😄😄😄Pole Mtani jamani..[emoji1787]