Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,558
- 6,538
Kuna wanaotamani Gongo wazi wapigwe ili muequalize 🤣🤣🤣🤣View attachment 2514325
⚽️ US Monastir🆚Young Africans SC
🗓 12 February 2023
⏱ 11:00 Jioni TUN | 01:00 Usiku TZ
🏟 Uwanja wa Rades, Tunis
🏆 CAFCC
Usiku wa deni haukawii. Hatuondoki hapa mpaka usiku sana.
Na africain alipewa odds ngapi!?Duh! Mbona toka mwaka umeanza huandiki logic?
Kwamba uzi kuanza mapema ndiyo washinde
Yanga kule yupo kama ihefu ata kwenye betting kapewa odds 5
Means ni mdaifu atafungwa ata 4
mambo ya utabiri yasha kushindaUtabiri wangu
3-0
Hii dhahma inaweza ikaipata Uto Leo au Lubumbashi mzunguko wa piliBado 5 za raja Casablanca
Yakwako yamekushinda unatafuta ya wenzio.View attachment 2514325
[emoji460]️ US Monastir[emoji739]Young Africans SC
[emoji1001] 12 February 2023
[emoji935] 11:00 Jioni TUN | 01:00 Usiku TZ
[emoji909] Uwanja wa Rades, Tunis
[emoji471] CAFCC
Usiku wa deni haukawii. Hatuondoki hapa mpaka usiku sana.
Kile kigoli kimoja kimewatoa ufaham kabisa.Hii Match ni Yetu Yanga,, hao lazima watoe machozi ya damu leo.
Makolo Kaeni pembeni na huu Uzi wetu, nyie Mashabiki na Timu yenu kolokolo mna gundu
Huu mkeka unakubali ukiifata Yanga, pesa nzuri Sana hii...Yanga imepewa odds 5 swafi kabisa
Ata na club African yanga alipewa odds 6 mwisho wa siku ilikuaje?Duh! Mbona toka mwaka umeanza huandiki logic?
Kwamba uzi kuanza mapema ndiyo washinde
Yanga kule yupo kama ihefu ata kwenye betting kapewa odds 5
Means ni mdaifu atafungwa ata 4
[emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 2514325
[emoji460]️ US Monastir[emoji739]Young Africans SC
[emoji1001] 12 February 2023
[emoji935] 11:00 Jioni TUN | 01:00 Usiku TZ
[emoji909] Uwanja wa Rades, Tunis
[emoji471] CAFCC
Usiku wa deni haukawii. Hatuondoki hapa mpaka usiku sana.
Leo ndio mnalitambua ilo makolo?Usikalili brother
Kizunguzungu cha horoya iko we subiri uone ataukimbia uzi wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah wabongo bhana, yaan asubuhi yote hii umeanzisha uzi wa timu hata haikuhusu.