FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

Wanajitoa ufahamu wanadhani huko CAF ni kama ligi yetu....kwamba takwimu za kubumba
hasira ya jana haijaisha

huwez fananisha hawa waarabu na wale wavuvi wa horoya mkuu jana mlicheza na timu dhaifu mnooo
 
Kuwa mpole, utabasamu tu
EDF4BC35-E889-4EC3-BF37-48578C6038D3.jpeg
 
Hawa wenye jezi za utopolo wa kijani sijui timu gani wana kipa mzuri. Sio pazia
 
Back
Top Bottom