FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

Hawa wenye nyeupe sijui kwanini hawafungi. Napenda jezi nyeupe
 
Wanajitoa ufahamu wanadhani huko CAF ni kama ligi yetu....kwamba takwimu za kubumba
hasira ya jana haijaisha

huwez fananisha hawa waarabu na wale wavuvi wa horoya mkuu jana mlicheza na timu dhaifu mnooo
 
hasira ya jana haijaisha

huwez fananisha hawa waarabu na wale wavuvi wa horoya mkuu jana mlicheza na timu dhaifu mnooo
Mnapigwa na waarabu wala tende?? Aibu yenu...
 
Hawa wenye jezi za utopolo wa kijani sijui timu gani wana kipa mzuri. Sio pazia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…