Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Sasa muwahi mje kuwapokea TP Mazembe na RajaTeam mapokezi ndio muone michuano ipoje ya kimataifa
Sema tu umebet mkuu,usitafute sababubado goli moja Uto wafungwe ili ule uzi wa yule mtabiri utimie.
Naona kama zitabaki hizihizibado goli moja Uto wafungwe ili ule uzi wa yule mtabiri utimie.
kilicho.mpata bocco janaMdaka mishale wetu leo kapatwa na nini wakati huku Bongo anaongoza kwa clean sheets?
Bongo sio Tunisie mkuuMdaka mishale wetu leo kapatwa na nini wakati huku Bongo anaongoza kwa clean sheets?
Kamoroco katakuwa kachawi hako kajamaaToa Moroko ingiza Farid
Nikweli kabisa hata Simba huwa wanapokeaUto waze wa bahasha