Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajifanya hawakumbukiKama jana tu. Msijizime data... Hamna cha kufurahia...
Mtani tulimalizana ya Guinea jana, leo tupo Tunisie, kwa nini huelewi ?Horaya FC 1 - simba SC 0
Waanzilishi wa kuiletea nchi aibu.
Uzuri hata nyinyi huwa mnalijua vibe letu (mashabiki wa Simba Sc), kwenye majukwaa ya kimtandao hakuna sehemu ambayo huwa tupo pungufu zaidi yenu.Nawashukuru mikia Kwa kampani yenu,bila nyinyi ningumu huu Uzi kosegea [emoji23][emoji23]
Imeendeleza aibu ya janaFull Time
Monastir 2-0 Yanga
Nchi imeingia kwenye aibu
Kwamba Raja Casablanca umewasahau?Jumapili una TP Mazembe kazi ipo mbonaView attachment 2515219
Mkuu hii mbungi nimeisikiliza redioni na sijamsikia.Kwani Naomba Kuuliza Aziz Ki alikuwepo.?
Isije Kuwa kocha kazingua hakumpanga...!
Hizo 4 labda wafunge na mikonoPoleni,jipangeni mechi inayofata na Mazembe mumpige mazembe nne bila.
Kabisa vibonde wote wa Africa wanakutana kwenye hili Kombe.Ni aibu nzitooooo
Haji Manara alaaniwe kwa mdomo wake
"Hili ni kombe la losers"