FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

Hapana unajua shida Guinea kule kama masaa hayaeleweki hivi. Yaani ukipigwa kimoja ni dharau sana...
Halal bao 2 ? Afu kuna fisi wenu kisinda yeye ni mambio hata mpira hajagusa mpaka akatolewa dakika ya 70
 
Approach yake ya away ni ovyo, away anza kwa kujilinda kwa kutafuta sare hivyo viungo wakabaji ni muhimu.

Team selection ni ovyo, Lomalisa sio mchezaji wa kukaa benchi. Ni mrefu na ana offer vitu vingi kuliko Kibwana.
Yule beki wa kutoka Mali kaletwa kama urembo sio kwaajili ya mechi za kimataifa ama.

Mayele kawa floppy wa mechi ya leo na hakustaili kumaliza dakika 90, ni mmoja wa mchezaji aliyeharibu move nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…