Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado 5 za raja CasablancaKila la heri uto. Ila kumbukeni hii ni mechi ya ligi ya timu zisizo bingwa
Tunaitunza hiiUtabiri wangu
3-0
Kwa bao moja??? HHahaaaMonastir wawaulize wenzao club Africain kilichowakuta hapo hapo tunis
umeamka na machungu ya Jana?View attachment 2514325
[emoji460]️ US Monastir[emoji739]Young Africans SC
[emoji1001] 12 February 2023
[emoji935] 11:00 Jioni TUN | 01:00 Usiku TZ
[emoji909] Uwanja wa Rades, Tunis
[emoji471] CAFCC
Usiku wa deni haukawii. Hatuondoki hapa mpaka usiku sana.
Lile samba tulilolitembezaKwa bao moja??? HHahaaa
Unatuanzishia uzi kama nani? Harusi isiyokuhusu unaivalia dera utaolewa wewe mwenyewe ohoooo!View attachment 2514325
⚽️ US Monastir🆚Young Africans SC
🗓 12 February 2023
⏱ 11:00 Jioni TUN | 01:00 Usiku TZ
🏟 Uwanja wa Rades, Tunis
🏆 CAFCC
Usiku wa deni haukawii. Hatuondoki hapa mpaka usiku sana.
Usikalili brotherMonastir wawaulize wenzao club Africain kilichowakuta hapo hapo tunis
Duh! Mbona toka mwaka umeanza huandiki logic?Ila duu si kwa mapema hii...kuna uwezekano Ma Uto yanaweza kushinda kwa sababu umeuanzisha huu uzi mapema sanaaa...
Yanga tuna historia ya kushinda kwenye dimba lileIla duu si kwa mapema hii...kuna uwezekano Ma Uto yanaweza kushinda kwa sababu umeuanzisha huu uzi mapema sanaaa...
Kikubwa hatutaki uchawi wenuView attachment 2514325
[emoji460]️ US Monastir[emoji739]Young Africans SC
[emoji1001] 12 February 2023
[emoji935] 11:00 Jioni TUN | 01:00 Usiku TZ
[emoji909] Uwanja wa Rades, Tunis
[emoji471] CAFCC
Usiku wa deni haukawii. Hatuondoki hapa mpaka usiku sana.
Lolote linaweza tokeaYanga tuna historia ya kushinda kwenye dimba lile
Usiku wa deni haukawii. Hatuondoki hapa mpaka usiku sana.
Jamani tunapooza pooza ngengaDuh! Mbona toka mwaka umeanza huandiki logic?
Kwamba uzi kuanza mapema ndiyo washinde
Yanga kule yupo kama ihefu ata kwenye betting kapewa odds 5
Means ni mdaifu atafungwa ata 4
Nimeona 2:3Wananchiiii iiiiiiii welcome ....... welcome
Kushuhudia soka safi
Bila uchawi........
Magoal. Ya kutosha
Utabiri
YANGA ANASHINDA 3........0