Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia dawa ikuingie weweNasisitiza tena
Tukitoka hapa lazima tupate tuition ya kucheza mipira iliyokufa
Kucheza katika full package yani attacking pamoja na defensing
kweli mkuu ila ukirudi bongo ndo ukuta bora, sasa sijui hao wengine wana hali ganiHawajazubaa ndo uwezo wao
bila shaka unasikiliza redio mayele amecheza mpira zaidi ya mara 117' Monastir 2-0 Yanga
Yanga wanaloa namna gani hapa
Mayele hajagusa
Beki kibwana na Dickson job utegemee nini ??