FT: Utopolo 0 - 1 African Sports, Mechi ya Kirafiki

Unajifariji na aibu yako.
 
Nafuu mkamuomba Yikpe msamaha. Huyo Fiston alikuwa anafanya nn uwanjani. Kuzurura.
 
Golikipa wa African Sports ni Bora kabisa ktk Bara hili.
 
Unafurahia utopolo
 
Utelembwe ile ilikuwa just a friend match

Au mnadhani unbeaten run ndio imekoma jana

[emoji250][emoji250][emoji250][emoji250][emoji250][emoji250][emoji250][emoji250][emoji250][emoji250][emoji250][emoji250][emoji250]

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Nimegundua kitu kimoja tu kwenye huu uzi; Mashabiki wa Mwamedi fc a.k.a Mwamedi Arena fc wanatamani sana kuona timu ya Wananchi ikifungwa kwenye ligi.

Hiki kitendo cha kuongoza ligi huku ikiwa haijapoteza hata mchezo mmoja mpaka sasa, kumbe kinawauma sana.
 
Daah aibu sana kufungwa na vitimu vya ovyo ovyo namna hii dooh tena huku mkiwa full kiasi hiki
Kama Africans Sport ni timu ya ovyo, na ikaifunga Yanga ambayo katika mechi 2 na simba msimu huu Yanga kashinda mechi moja na nyingine ikaisha sare

Mbumbumbu fc itakuwa ni timu ya namna gani... Ovyo est [emoji23]





Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…