FT: Utopolo 0 - 1 African Sports, Mechi ya Kirafiki

FT: Utopolo 0 - 1 African Sports, Mechi ya Kirafiki

Kwa mashabiki wenzangu wa Yanga

Haya matokeo ni mazuri japo hatuwezi kufurahi kufungwa, hii Ni friend match ila jambo zuri imetuma alert kwamba inabd tukaze zaidi. Japo tuna big squads with quality players + best technical batch, lakn Kuna team inaweza kutufunga.. Hii Ni alert inabd tukaze ili tutumize lengo letu.

Mwsho Mikia FC endeleeni kushangilia tumepoteza point 3 muhmu leo[emoji23][emoji23][emoji23]

#DaimaMbeleNyumaMwiko
Unajifariji na aibu yako.
 
Nafuu mkamuomba Yikpe msamaha. Huyo Fiston alikuwa anafanya nn uwanjani. Kuzurura.
 
Golikipa wa African Sports ni Bora kabisa ktk Bara hili.
 
Kwa mashabiki wenzangu wa Yanga

Haya matokeo ni mazuri japo hatuwezi kufurahi kufungwa, hii Ni friend match ila jambo zuri imetuma alert kwamba inabd tukaze zaidi. Japo tuna big squads with quality players + best technical batch, lakn Kuna team inaweza kutufunga.. Hii Ni alert inabd tukaze ili tutumize lengo letu.

Mwsho Mikia FC endeleeni kushangilia tumepoteza point 3 muhmu leo[emoji23][emoji23][emoji23]

#DaimaMbeleNyumaMwiko
Unafurahia utopolo
 
Kidimbwi
Screenshot_20210205-204055.jpg
 
Utelembwe ile ilikuwa just a friend match

Au mnadhani unbeaten run ndio imekoma jana

[emoji250][emoji250][emoji250][emoji250][emoji250][emoji250][emoji250][emoji250][emoji250][emoji250][emoji250][emoji250][emoji250]

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Nimegundua kitu kimoja tu kwenye huu uzi; Mashabiki wa Mwamedi fc a.k.a Mwamedi Arena fc wanatamani sana kuona timu ya Wananchi ikifungwa kwenye ligi.

Hiki kitendo cha kuongoza ligi huku ikiwa haijapoteza hata mchezo mmoja mpaka sasa, kumbe kinawauma sana.
 
Daah aibu sana kufungwa na vitimu vya ovyo ovyo namna hii dooh tena huku mkiwa full kiasi hiki
Kama Africans Sport ni timu ya ovyo, na ikaifunga Yanga ambayo katika mechi 2 na simba msimu huu Yanga kashinda mechi moja na nyingine ikaisha sare

Mbumbumbu fc itakuwa ni timu ya namna gani... Ovyo est [emoji23]

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom