FT: Uwanja wa Mkapa: Yanga 0-2 Vipers, Mwananchi Day (Agosti 6, 2022)

Kuna wapotoshaji wachache sijui wanaushawishi gani humu jukwaani kiasi wawe na nguvu ya kuwadanganya mods kuwapa taarifa za uwongo kuwa yanga imefungwa goli 2

Mods msiingie mkenge hao ni watu wenye chuki binafsi na Yanga.

Nyinyi mlikuwa busy na shughuli zenu za kuiendesha JF ila wajinga wachache wameweza kuwarubuni uongo na kufanya heading isomeke Yanga kafungwa
 
Hawa vipers ni hatari sana , Huyu Bobosi Byaruhanga si mchezaji wa kawaida
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huo uzuri umeupima vipi uto ilihali hata kupiga pasi tano tu ni kazi nzito?
 
Yanga atafungwq na timu zote lakini sio makolo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mpila umeisha Vipers wanatoka kufua mbele Kwa goli 2-0.
BYUTI BYUTI [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Walianza kumkaribisha failure (mandonga)

Kawaambukiza umandonga

Na walivyo mandonga kweli utakuta wanatamba hivyo hivyo japokuwa wamechapika
 
Yanga wamng'akia vipers! Kwa nini umekomaa wakati tumekualika tu! ona sasa pilau haitalika tena!
 
Hizi mechi za wanaume wangefanya kama Yanga princes,wawe wanacheza na timu zinazoshuka daraja.
Vinginevyo sherehe hainogi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…