Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Ni kweli.....Muda Bado,game changers tunao,ni suala la muda tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli.....Muda Bado,game changers tunao,ni suala la muda tu.
Yani nna furaha kinyama😂😂😂 kama nlijua nkajipikia kapilau kangu😋😋😋 leo mtu sjui atarudije ndani😂😂😂😂Dah!Miko miwili nyuma?Watashindwa kutembea na kuvimba!
Huyu ni MC mualikwa tu...Hahahaha mtaeleza kwanini mpeleke gundu uwanjani wakati anatumikia adhabu
Huo uzuri umeupima vipi uto ilihali hata kupiga pasi tano tu ni kazi nzito?Profesa naye aliidharau sana hii mechi! By the way, it is a friend match. Bado kuna muda wa kujipanga na pia kurekebisha makosa.
Leo tukubali tu matokeo. Boko la Juma Shaban dakika ya kwanza tu, nalo limechangia kuiondoa timu mchezoni!
Screen Protector naye amekubali kufungwa goli la kizembe!
All in all, timu bado ni mzuri.