Chendembe
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 444
- 488
Huyu amekuzwa tuuu, hafikii hata kiwango Cha BwalyaJamani aziza key imekufa taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu amekuzwa tuuu, hafikii hata kiwango Cha BwalyaJamani aziza key imekufa taifa
Una majungu tu😂😂Aiseee basi pole leo naona waganda sio watu wazuri.
Jmosi ijayo twende tukacheki mnavyochukua ngao
Wee mbona unakuwa na roho nyepesi...wale simba jike sio simba dume so mtawachakata tuu mbususu yao. Tena tinga uzi kabisa full confidenceUna majungu tu😂😂
Mkuu, hii post yako ungeitoa tu!Nje bado kuna majembe mengi sana yakisubiria tu kuja kubadili upepo. Mayele, Morrison, Aziz Kii, Lomalisa, Kambole, Bigirimana!
Naamini kocha amewaacha nje kwa makusudi kabisa. Hawa Vipers ni wepesi sana kwa timu ya Wananchi.
Kambole hata hamu hakuwa nayo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu, hii post yako ungeitoa tu!
Sema kambale sijaiona leo, au ilikuwa matopeni bado?
Bella ciao bella ciao bella ciao ciao mayeleee boooMpaka kufikia dakika ya 90 hapa tunakuwa tumeshinda, lile ni kosa dogo tu walifanya.
Fistonia na Aziza vipi wametoa jibu gan, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha maneno vifaa vipo nje. Aziz ki, mayele na
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwisha habari yako, poleeeeeeeh.Kwa lile boko la mchezaji wa Yanga, walistahili kabisa kufunga.
Haiwezekani mpira uko karibu na goli la mpinzani, badala ya kushambulia ukafunge! Eti unarudisha golini kwako, na kumpasia adui!!!
Unawashwa vibaya weyeeeee, mmekojolewa viwili. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wahuni wamevamia uzi!!?
We are going to win thin match fairly and squarely
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Gooooaaal Yanga wanasawazisha kupitia MANDONGA mtu kazi.
Shost haya tupe huo ushindiiiii!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka kufikia dakika ya 90 hapa tunakuwa tumeshinda, lile ni kosa dogo tu walifanya.
anaogopa jinsi alivyotia aibu nchi,serikali na chama kwa ujumla[emoji125][emoji125][emoji23]Tena akuje nimfunde upyaa, maana hajui jinsi ya kuwa mwali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shougaaaaaaaah angu futa hii comment, huoni unajidhalilisha???Nje bado kuna majembe mengi sana yakisubiria tu kuja kubadili upepo. Mayele, Morrison, Aziz Kii, Lomalisa, Kambole, Bigirimana!
Naamini kocha amewaacha nje kwa makusudi kabisa. Hawa Vipers ni wepesi sana kwa timu ya Wananchi.
We jamaa uko na akili sawa sawa kweli?? Yaan Yanga walinunua mechi zipi hizo pamoja na za Simba zote 4 mlizokutana??Makelele kIbao timu bovu tukiwaambia utopolo kimataifa bado katika ligi ya bongo jamaa wamenunua sana mechi nyie mkafikiri ni uwezo wao matokeo yake wakienda kimataifa wanagongwa kwa jinsi walivyocheza Leo wanatoka mapema tu mdomo mwingi timu hakuna kima nyie
Weraaaaaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Upumbavuu