Wiliete SC vs Yanga SC
Kikosi kinachoanza dhidi ya Wiliete SC
Mpira umeanza
Dakika ya 3 Yanga SC wanapata free kick
Dakika ya 33
Andabwileeeeeeeeeeee
Shuti kali kutoka kwa Aziz linatupa bao la uongozi.
Dakika ya 43
Wiliete 0-1 Yanga SC
Dakika ya 45+1
ππππ ππππ| Wiliete SC 0π1 Young Africans SC
Kipindi cha pili kimeanza
Dakika ya 58
Wiliete SC wanafanya mashambulizi hapa
Dakika ya 59
Anatoka doumbia anaingia max nzengeli katoka mzize kaingia Edmund
Dakika ya 75
Anatoka boka anaingia Hussein
Anatoka andabwile anaingia conte
CHUMA ya pili kutoka kwa
Edmund Johnβ½οΈπͺπΎ
Dakika ya 81
Dubeeeeeeeeeeβ½οΈ
#CAFCL
π πππ ππππβ°β±οΈ| Wiliete SC 0π 3 Young Africans SC
Yanga anacheza leo Ijumaa, hakupata muda mwingi kujiandaa na hii game. Simba mwenye muda mwingi akawa analalama Ngao ya Jamii isogezwe mbele ili ajiandae na game za kimataifa.