Hili hata mimi nimeliona Yanga ya Gamondi ilikuwa na kasi kubwa!YANGA BADO Kabisa tofauti na kikosi cha misimu miwili nyuma ilikuwa timu ikikutana nayo lzm ilambe 4 au 5 ila hiki tia maji tia maji
Kwamba willete sio wabovuKuna watu wanatamani kusema wiliete ni wabovu lakini wakikumbuka wao wamepigwa mechi sita mfululizo
Wanaishiwa nguvu
Hawawezi kuwa sawa na timu iliyofungwa mara 6 mfululizo ikipokea kipigo kikubwa cha mkono wa nyani. 😅😅Kwamba willete sio wabovu
Naskia hata mapokezi hayakua mazuri, kutumia uwanja kwa ajili ya mazoezi ya mwisho ilikua mizengwe.TFF iulize ni kwa nini bendera ya Tanzania hikuonyeshwa wakati mpira unaanza bali ilionyeshwa ile ya Angola tu?
View attachment 3476056
Hawa jamaa nashindwa kuwaelewa kabisa. Wakifungwa wengine huwa wanaumia sana halafu ikija zamu yao hakuna cha maana wanachofanya.Yaani mshabiki wa Simba mnaona nyie ndiyo wenye haki pekee ya kufungwa na Yanga