Ni kweli hii timu bado si ya ushindani.Aina ya mpira unaochezwa na Yanga ni wa ovyo sana na kocha uchaguzi wake wa wachezaji ni wa ovyo.
Hapo kwenye "timu ya wananchi" ungeamdika "timu ya wana ccm. Sasa hivi imeshakuwa timu ya CCM, siyo timu ya wananchi tena.Huu uzi nilikuwa nautafuta kwa hamu kubwa sana.
Kila la heri kwa timu ya Wananchi Young Africans. 💚💛
Ushindi ni muhimu.
Hatimaye kipofu kaona mwezi! Baada ya kukosa nafasi nyingi za wazi, walau ameambulia na yeye kagoli kake.Itakuwa mkataba Dube na Yanga ni kwanza lazima aanze kikosi cha kwanza
Wewe wasema.Hapo kwenye "timu ya wananchi" ungeamdika "timu ya wana ccm. Sasa hivi imeshakuwa timu ya CCM, siyo timu ya wananchi tena.
Striker anahitaji nafasi kumi hili afunge goli moja.Hatimaye Dube kafunga
Boyeli akiimarika kiafya, kuna uwezekano mkubwa wa Dube kusugua bechi. Utulivu hana kabisa pale mbele.Striker anahitaji nafasi kumi hili afunge goli moja.
Nimelia sanaaWilliete 3 yanga 0,huku hamna magoli ya offiside..kiwango cha yanga ni ndogo sana hafiki makundi.
Leo kaoga matusi mengi sana kwa mashabiki wa Yanga wanaotazama mechiHatimaye kipofu kaona mwezi! Baada ya kukosa nafasi nyingi za wazi, walau ameambulia na yeye kagoli kake.
Dah! Wewe unafaa kabisa kuwa Sheikh Yahya au yule Mtaalam wa Numerology.Williete 3 yanga 0,huku hamna magoli ya offiside..kiwango cha yanga ni ndogo sana hafiki makundi.