vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 3,128
- 5,862
Kiukweli amenihuzuniaha sanaHuyu kocha wetu anajua kweli anachokifanya kweli
Kiukweli amenihuzuniaha sanaHuyu kocha wetu anajua kweli anachokifanya kweli
Kwa leo anaweza kuchomoka kutokana na aina ya mpinzani ila kwa timu ngumu huyu hachomoki. Mfano kwa ligi kuu akikutana na Singida big stars anaweza kufungwa. Labda abadilike huko mbeleniNgoja ayatimbe Leo
Li kikosi lipana. Ila kule kwingine alikuwa festIleveniNimeona kikosi kinachoanza.
Zimbwe benchi kama mechi iliyopita.
DStv kwanzia hatua ya makundiMnatumia DStv quality ipoje?
Huku kwa bwanyenye QUALITY MBOVUUU
Nini wewe? Selection ya timu ina mambo mengi mkuu ikowemo timu inayocheza nayo.Aisee hapana huyu kocha ana changamoto ya uchaguzi wa wachezaji wa kuanza kikosi cha kwanza. Nimeanza kuwa na wasiwasi nae.
Kikosi kipo vizuri Punguzeni Presha wananchiHuyu kocha wetu anajua kweli anachokifanya kweli
Hata andwambwile alifunga dhidi ya rayon (own goal) au na yenyewe imemuimpress feruzi😂Mwamnyeto alifunga goli dhidi ya Rayon Sports, huwenda hiyo ndio iliyo mu-impress Feruzi
Kufungwa kafungwa wiliete maumivu unayapata kolo kutoka mitaa ya msimbazi.Hii timu inayocheza na yanga ikija nbc premier league inashuka daraja
Yaani mshabiki wa Simba mnaona nyie ndiyo wenye haki pekee ya kufungwa na YangaHii timu au takataka
Atajua hajui...Kufungwa kafungwa wiliete maumivu unayapata kolo kutoka mitaa ya msimbazi.