FT: Wiliete SC 0-3 Yanga SC | CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | 11 de Novembro Stadium| 19.09.2025 | Saa 12:00 Jioni

[emoji2][emoji3][emoji3]
Hili litakuwa lina ukweli, angalia msimu uliopita ana udhi mashabiki lakini piga ua kocha lazima ampange kikosi cha kwanza, msimu huu kwa vyuma vilivyopo bado Dube anaanza na bado anafanya madudu mpaka kocha ana mind lakini kaachwa hadi full time. Nahisi anabebwa na mkataba, na kwa kumtegemea yeye katika ushambuliaji pamoja na kuwa na wachezaji wengi, basi tuna safari ndefu kimataifa
 
Ashukuru Andy boyeli ni majeruhi ila huyu jamaa anazingua sana naona Andy boyeli anaenda kuchukua nafasi yake
 
Dube miyeyusho sana, nafasi zaidi ya 7 ndio anapata goli.
Uzuri ni kua anakua kwenye nafasi ila skills za kumalizia ndio 0.

Zo far kwangu timu sio mbaya sana, haijaruhusu goli kwa mechi za hivi karibuni na inafunga.
Mnaotaka pira biriani huu si wakati wake, kikubwa ni matokeo na kuzuia kufungwa.
 
Back
Top Bottom