FT: Wiliete SC 0-3 Yanga SC | CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | 11 de Novembro Stadium| 19.09.2025 | Saa 12:00 Jioni

FT: Wiliete SC 0-3 Yanga SC | CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | 11 de Novembro Stadium| 19.09.2025 | Saa 12:00 Jioni

Sio leo tu.

Ni almost mechi zote.

Anahitaji nafasi kumi kufunga goli moja.

Ukitoa assists zake anazotoaga sioni cha maana anachofanya.

Anaturudisha nyuma sana.
Hahaha timu ya ccm bhana kwahiyo hamumtaki mpumalelo tena?
 
YANGA BADO Kabisa tofauti na kikosi cha misimu miwili nyuma ilikuwa timu ikikutana nayo lzm ilambe 4 au 5 ila hiki tia maji tia maji
 
Back
Top Bottom