Somalia_Prince
Senior Member
- Dec 15, 2024
- 196
- 231
Kila la kheri utopolo🐸
Jezi mbayaa 😁😁
🤣😂Kila la kheri Wiliete SC msituangushe sisi wa Angola wenzenu.
Wiliete SC vs Yanga SC
View attachment 3475744
Nimeona kikosi kinachoanza.
Mwamnyeto alifunga goli dhidi ya Rayon Sports, huwenda hiyo ndio iliyo mu-impress FeruziKocha anaanza kuniuzi katika upangaji wake wa timu, boka na Mwamnyeto wa nini? Ina maana Conte Yanga wamepigwa? Kama ndio hivyo bora hata wafanye namna ya kumrejesha Aucho katika dirisha dogo hata kwa mkopo
Aisee hapana huyu kocha ana changamoto ya uchaguzi wa wachezaji wa kuanza kikosi cha kwanza. Nimeanza kuwa na wasiwasi nae.Mwamnyeto alifunga goli dhidi ya Rayon Sports, huwenda hiyo ndio iliyo mu-impress Feruzi
Ma Pacome aliyewafunga Simba kaanza?Mwamnyeto alifunga goli dhidi ya Rayon Sports, huwenda hiyo ndio iliyo mu-impress Feruzi
Na Mpumelelo sijajua ni kigezo gani kinamfanya achukue namba mbele ya Mzize.Aisee hapana huyu kocha ana changamoto ya uchaguzi wa wachezaji wa kuanza kikosi cha kwanza. Nimeanza kuwa na wasiwasi nae.
Una umama wa kijinga.Ma Pacome aliyewafunga Simba kaanza?
Kaenda kuchukua pensheni utopoloniNimeona kikosi kinachoanza.
Zimbwe benchi kama mechi iliyopita.
Mzize mbona yupoNa Mpumelelo sijajua ni kigezo gani kinamfanya achukue namba mbele ya Mzize.
Huyu kocha sina imani kama hiki ni kikosi alichokipanga yeye bila influence ya uongozi.
Sikucheki freshMzize mbona yupo
mvumilivuKocha anaanza kuniuzi katika upangaji wake wa timu, boka na Mwamnyeto wa nini? Ina maana Conte Yanga wamepigwa? Kama ndio hivyo bora hata wafanye namna ya kumrejesha Aucho katika dirisha dogo hata kwa mkopo
Ngoja ayatimbe LeoHuyu kocha wetu anajua kweli anachokifanya kweli