FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

Dharau dk za mwisho zimetuponza...zile gonga gonga za nini ..unakwenda kumpasia mzamiru mzee wa back pass anampasia kapombe chomachoma
Walipoanza kucheza ujinga huu, nikamwambia mtu kuwa soon tutatiwa dule. Mimi siku zote siamini katika back pass. Siku zote. Huyu Kapombe alichotifanyia leo, aaagh. Halafu Walivyo wajinga. Dakika zile, kwanini hawakwenda timu nzima kuzuia ile faulo. Wameniudhi sana hawa wadudu leo
 
Ila jamani tuwe na moyo ni shukurani.
I'm a simba fan ila simba wamecheza vizuri leo jamani.
Yale mapungufu mengi tulozoea kuyaona hayapo. Kimsingi simba imebadilika kiasi fulani kuanzja mchezJi mmoja mmoja hadi timu.
Hujui mpira wewe, timu yoyote duniani ikiwa imesajili Kocha mpya lazima iwe na matokeo mazuri kwa mechi 2 au 3 za awali sababu kila Mchezaji hujitutumua kumwonesha Kocha ana kiwango kumbe wote ni Wastaafu tupu ndani ya Makolokolo SC [emoji1787]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hatimaye funiko umejulikana 😅😅
 
Sema kuna mashabiki wa yanga ni wachawi sana, nimesikia kuna maeneo watu wanashangilia kwa kishindo nikajua simba, kuangalia kumbe wydad nikasema kumbe kuna watu huwa wanashangalia kufungwa kwa wapinzani wao wazi wazi hivi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom