FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ule wimbo wa yanga ni ya mwisho kwenye kundi tunaendelea nayo au ndio tuizike leo?. Nauliza tu ndugu zangu....hiiii bhagoshaaa liboloooo litaleee heneee Simba yasokomejwa.
Mbona na nyie mechi ya kwanza mlikutana nalo
 
Utopolo mko mkiani, mna alàma mbili tu hamjashinda hata mechi moja. Mkitaka kwenda robo itabidi msimamo uwekwe juu chini.
Utadhani wao wanaongoza kundi lao.
Nyani haoni...
Screenshot_20231209-231024_Gallery.jpg

Waambie wakuongeze dozi hapo mirembe master
 
Utopolo mko mkiani, mna alàma mbili tu hamjashinda hata mechi moja. Mkitaka kwenda robo itabidi msimamo uwekwe juu chini.
Utadhani wao wanaongoza kundi lao.
Nyani haoni...
Bora unyamaze tu
 
We jamaa nawe! Kwahiyo wewe unajua mpira kuliko Didier Deschamps aliyekuwa akiyaona yote hayo lakini bado akabaki kuwa choice yake ya kwanza? Kwa wanaojua mpira striker si kufunga tu na kugusa mpira.

Hivi lini mtamheshimu Giroud mfungaji bora wa wakati wote wa Ufaransa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Technically Giroud ni striker wa daraja la kawaida sana, anaanzaje kuwa Bora... Ukiulizwa striker Bora ufaransa kwa miaka 5 iliyopita utamyaja Olivier Giroud? Kwa kipi hasa?

Deschamps kumfanya yeye ndio first choice kwa miaka yote hiyo sio kigezo cha kufanya tumuone ni Bora... Deschamps ni kocha mwenye kiburi na chuki na hta Giroud amekuwa akimpanga kwa mahaba tu...!!

Kwanza unajua hata sababu ya yeye kutomuita Karim Benzema kwa miaka yote Ile kabla hajamuita kwenye National league mwaka 2021??
 
Back
Top Bottom