Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Kwa sasa timu inacheza vizuri japo kwenye safu ya ufungaji tatizo lipo.Mbona Mimi sio mfatiliaji sana wa mpira lkn najua Simba Ina tatizo.
Nyie wanasimba wenzangu mnaofatilia mpira za ndan na nje .
Mnabet na kubet.
Mnawezaje kudhan Simba hii itafika mbali???.
Huo ni ushabiki wa kikuma
Benchika anajitahidi kuijenga timu.