FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

Utopolo mko mkiani, mna alàma mbili tu hamjashinda hata mechi moja. Mkitaka kwenda robo itabidi msimamo uwekwe juu chini.
Utadhani wao wanaongoza kundi lao.
Nyani haoni...
Kolo kunywa maji ya vuguvugu ulale chali kivulini upooze machungu ya bao 1 kwa nunge[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Technically Giroud ni striker wa daraja la kawaida sana, anaanzaje kuwa Bora... Ukiulizwa striker Bora ufaransa kwa miaka 5 iliyopita utamyaja Olivier Giroud? Kwa kipi hasa?

Deschamps kumfanya yeye ndio first choice kwa miaka yote hiyo sio kigezo cha kufanya tumuone ni Bora... Deschamps ni kocha mwenye kiburi na chuki na hta Giroud amekuwa akimpanga kwa mahaba tu...!!

Kwanza unajua hata sababu ya yeye kutomuita Karim Benzema kwa miaka yote Ile kabla hajamuita kwenye National league mwaka 2021??
Unajua idadi ya magoli aliyofunga Giroud?
 
Nadhani mmejionea sio mnafungwa goli nyingi
Binadamu na viumbe vyote duniani ni matokeo ya goli 1, mengine ni mbwembwe tu [emoji16]
JamiiForums-312072181.jpg


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom