kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Kwani kosa lilianzia wapi mchezo wa leo?mmeanzaa
dk ya karibia na mwisho.Hawana maajabu ni bahati ilikuwa upande wao, wangepata goli dakika za mwanzo tungesema wametuzidi sasa dk za nyongeza dk ya karibia na mwisho.
Njaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnyama anashinda
Nimecheka sana
🤣RUDINI NYUMBANI MASHUJAA( msini quote Vibaya,Sio Wale Wa Kigoma)
Sisi Wana Simba Sports Club TUMEONA KILICHOTOKEA...!
Tumeridhika...hlf
Sisi tunawapongeza, pili Wydad ni Lazima Wazitapike hizo points 3 walizopata kwa Udhulumati....Dk ya 94 Wakati Dk zilizoongezwa ni 3 tu....!
Kwa team hii, thubutuuu.Ndo hivyo ndugu yangu tushaumizwa tuangalie mechi zijazo huenda mambo yakawa mazuri kwetu
Wapo kimyaaa humuNimecheka sana
Tuna maumivu sanaB... nilikuambia hili lakini, ukakataa.
Mdakuzi
Umesema ukweli Kabisa🤣Kwa team hii, thubutuuu.
Ule Uzi wako ngoja tukaufukue
Em kwendraaa,Naskia kibu karudisha goli
Moja Moja hukoEm kwendraaa,
Chama hamna kitu mle, kufanya counter anaweza hata kubaki mwenyewe mbele mita 25 na akakutwa na mpira kuchukuliwaunasemaa? situlikubaliane mwalimu afwate mfumo wa chama??
Simba lazima achomoze na ushindi mnono wa bao 3 na point 3 muhimu. Kila la heri mnyama unapokwenda mawindoni hapo Casablanca.