Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Timu bora leo hii inashangilia kuwa sawa na timu wanayoiita mbovu nafikiri sasa wamejua uwezo halisi wa timu yao, na zile kelele za "subirini tuingie makundi tuwaoneshe jinsi ya kufika nusu fainali, leo hii badala ya kudhihirisha ubora wao eti nao wanashangilia wenzao kuwafuata mkiani