Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Simba sc wafanye Nini kipindi cha tatu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti huo nao ni ushauri! Mna maneno nyie watuUshauri : pengine ni muda muafaka kwa simba queen kucheza mechi zilizobaki
Ya sembeRobo ipi? Ya sembe au mchele?
Kwa team ipi? Saidoo mzee? Chama lege lege hata shoga wa kishua ana nguvu, kibu akili kisoda minguvu mingi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan li team limekosa hata maelewano, khaaaah.
Kesho waongeaji ni nyie utulivu hauwezi kupatikanaAsante Mungu wangeongea sana hawa mbumbumbu, kesho itakua siku tulivu
Em kalale na wee, mfyuuuhYa sembe
Niende wapi jamaniTokaaaa hapa,.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kapumzishe kende hizo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niende wapi jamani
Sina usingizi nipo narudia mpira WA simba hapaEm kalale na wee, mfyuuuh
Tulizanaa basSina usingizi nipo narudia mpira WA simba hapa
Hili ndo lile Jina la yule jamaa aliyeshinda goli dakika za jionii🤣Kapumzishe kende hizo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na wewe my🤣🤣Tulizanaa bas
Wimbo uendeleeeeVipi tuendelee na ule wimbo wa mechi 3 point 2[emoji28]
😂🤣Nilikuwa nawasapoti siku zote ila mlinikera sana kuwashangilia Ahly