FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

Timu bora leo hii inashangilia kuwa sawa na timu wanayoiita mbovu nafikiri sasa wamejua uwezo halisi wa timu yao, na zile kelele za "subirini tuingie makundi tuwaoneshe jinsi ya kufika nusu fainali, leo hii badala ya kudhihirisha ubora wao eti nao wanashangilia wenzao kuwafuata mkiani
 
Kama tutaendelea kujifanya tuko sawa kwamba Simba hamna tatizo ,basi usikae kutegemea matokeo Mazuri Kwa Simba.
Simba inapita katka kipindi kigumu, kupata matokeo mazuri ni kwa wakati huu itokee bahati tu.

Leo wamejitahidi kucheza bahati haikuwa upande wetu, tumefungwa katika dakika za mwisho
 
Sema kuna mashabiki wa yanga ni wachawi sana, nimesikia kuna maeneo watu wanashangilia kwa kishindo nikajua simba, kuangalia kumbe wydad nikasema kumbe kuna watu huwa wanashangalia kufungwa kwa wapinzani wao wazi wazi hivi
Safi saaana... Mbumbumbu wanatakiwa wazomewe namna hiyo, kama hayakuona dhuluma hii yakikaza mafuvu kuwa ni offside, kwanini yaonewe huruma [emoji848][emoji851]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Bila shaka unaisema yanga
Pole kwa kufungwa dk za jioni ugulia maumivu no way
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…