FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

Msimamo huu umeiweka Simba katika nafasi ngunu sana hasa baada ya ASEC Mimosas Kuifunga Galaxy; hata hivyo bado simba wana nafasi kama saba hivi kutinga robo fainali.
ninyi ninyi ndo mlisema yanga hana nafasi ila nyie ndo mnayoπŸ˜‚πŸ˜‚ simba mnappigwa nje ndani na wydad
 
Yaan Saidoo na onana nikiona wamewekwa uwanjani, hata mood ya kutazama mpira inakataa.

Siwapendi km nn yaan
 
Robo ipi? Ya sembe au mchele?

Kwa team ipi? Saidoo mzee? Chama lege lege hata shoga wa kishua ana nguvu, kibu akili kisoda minguvu mingi?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan li team limekosa hata maelewano, khaaaah.
Simbambili
 
Ikumbukwe TU kuwa chini ya Robert Simba ilikuwa haijawahi kufungwa mechi za kimataifa tangu itoke kufungwa na Horoya
Chini ya Benchika Simba imepokea kipigo Cha kwanza
 
Ikumbukwe TU kuwa chini ya Robert Simba ilikuwa haijawahi kufungwa mechi za kimataifa tangu itoke kufungwa na Horoya
Chini ya Benchika Simba imepokea kipigo Cha kwanza
Benchika out. Tunamtaka Robertinho wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…