FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

Afadhali mechi saa 4 mashabiki wa Yanga watakuwa wamelala...
Kama ulikuwa unafikiri hivyo, ondoa hayo mawazo aisee!! Leo hatulali mpaka kieleweke. Yaani tutakesha wote kwa tii vii.
 
Utopolo kujeni, Hapa ndo Mahali Sahihi Kwenu Kupata Uzoefu baada ya Kukosekana Group stage ya CAF CL kwa Miaka 25...!

Muone jinsi Kaka Yenu Mkubwa Kimataifa S.S.C anachezaje inapofikia hatua hizi.

'Jifunze kwa aliyekuzidi' timu Bora CAF ndani ya wale 10 Bora Afrika..!
 
Mnyama Upande Soka La Wanawake anamuondoa Utopolo Wanawake ngao ya jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…